ACT, CHADEMA wajitosa ugomvi wa CUF

ACT, CHADEMA wajitosa ugomvi wa CUF

Watu wavivu kufikiri na kufanya utafiti wanafikiri ushindi Wa ubunge na madiwani kutoka ukawa ulisababishwa na ujio Wa lowassa na kundi lake !! this pathetic!! ni asilimia ndogo sana!! ushibdi wao au idadi kuongezeka ilitokana na kuchukiwa kwa CCM na wananchi waliyokuwa wamechoka ufisadi ndani ya chama tawala!!na ushindi waliyopata siyo wakujivunia hata kidogo maana ni small percentage ya wabunge compared to the powerful party CCM iliyoweza kushinda vyama vyote 4!Ni aibu ya mwaka Lissu kujisifia ushindi kupitia ukawa!!Nafiri hesabu alifeli mbaya sana!!

Mbona unachanga mambo ndugu yangu.au ndio mambo yakupenda unafiki badala ya uhalisia.lisu kazungumza namna umoja wao ulivyowanufaisha
 
Mkumbo kajibu kwa mipisho badala ya kujenga hoja!
Mipasho ipi wakati hapo ametoa fact tupu wewe unaamini wabunge wa cuf wamepatikana miezi miwili baada ya Lowasssa kuingia Chadema?
 
Watu wavivu kufikiri na kufanya utafiti wanafikiri ushindi Wa ubunge na madiwani kutoka ukawa ulisababishwa na ujio Wa lowassa na kundi lake !! this pathetic!! ni asilimia ndogo sana!! ushibdi wao au idadi kuongezeka ilitokana na kuchukiwa kwa CCM na wananchi waliyokuwa wamechoka ufisadi ndani ya chama tawala!!na ushindi waliyopata siyo wakujivunia hata kidogo maana ni small percentage ya wabunge compared to the powerful party CCM iliyoweza kushinda vyama vyote 4!Ni aibu ya mwaka Lissu kujisifia ushindi kupitia ukawa!!Nafiri hesabu alifeli mbaya sana!!
Kama ushindi wa CUF ulitokana na kuchukiwa kwa Ccm kwa nini na ACT nao wasipate hivyo viti kadhaa ukizingatia nao walisimamisha mgombea kila jumbo?
Kitila kesha julikana kuwa analinda kibarua chake serikalini
 
Unapoona mkeo anagombewa na wanaume tofauti, anza kujiuliza kulikoni. Hivi CDM na ACT wanamaslahi gani na CUF? Mbona awali cdm waliwaita CUF ni CCM-B? Leo iweje CDM iwe na jema kwa CUF? Hivi sasa ACT inaonekana ni pacha wa CCM, ila kuna siku utasikia CDM wanataka urafiki na ACT. Dah, nashindwa kuwaelewa kabisa, rafiki mkia wa fisi!
 
Mkumbo nae le professeri kumbe bureee prifesa mzima unaandika majibu ya taarabu duh
 
[QUA cha
"MABOGOJOHA, post: 17840919, member: 383777"]Unapoona mkeo anagombewa na wanaume tofauti, anza kujiuliza kulikoni. Hivi CDM na ACT wanamaslahi gani na CUF? Mbona awali cdm waliwaita CUF ni CCM-B? Leo iweje CDM iwe na jema kwa CUF? Hivi sasa ACT inaonekana ni pacha wa CCM, ila kuna siku
utasikia CDM wanataka urafiki na ACT. Dah, nashindwa kuwaelewa kabisa, rafiki mkia wa

fisi![/QUOTE]

Acha ushamba fuatilia na siasa za nje utagundua vyama kuunda ndoa na kuvunjika ni kawaida

Acha
 
Nadhani kuna kitu ambacho kimejificha kidogo na ndo maana wengi hatuingii kukiona. UKAWA ulileta hamasa zaidi kwa wananchi kwa sababu ya ile dhana ya umoja. Kuna usemi usemao; United we stand. Kwa maneno mengine ni kwamba, tulikuwa na kiu ya kuona ccm imeanguka, na ukweli ni kwamba, ccm nao walijua/wanajua, upinzani wakiungana, hakika watawaangusha. Ndo maana huwa wanajitahidi kwa kila mbinu kuitikisa upinzani wasiweze kusimama katika umoja.
Tangu UKAWA ianze kupinga katiba pendekezwa, mambo yalianza kuiendea mrama ccm. Hivyo, kitendo cha kumwingiza tena Lowasa kwao UKAWA ikatia chaji zaidi kwa wananchi kuanza kuamini kuwa, sasa ccm kwa kheri. Mipango ya kuwatikisa CUF na CDM ilivyo wiva hata Profesa na Dr wakaamua kubwaga manyanga tena katikati ya vita iliuua ule mori wa wananchi.
That is why, tunasema, Profesa aendelee kukaa kule kule alikoenda awaache wana CUF wajikongoje wenyewe.
Hata angelipewa ruksa kuingia ofisini leo, hawezi tena ongoza kwa nguvu yake ya kale. Aliiangusha CUF kwa kukimbia vitani. Full Stop.
Kitila is another pathetic. Afanye vyake huko ACT aongeze wabunge, aache kuyatangaza mapungufu ya upinzani. Unapoeleza mapungufu tuuu unauua upinzani.
Tungoje hata kukitokea chaguzi ndogo ACT ipite kwa sera zake. Lakini kwa mtindo huu wa kupambana na upinzani, mtabaki na huyo huyo mmoja. Mkuu kishawaambieni, hatokula pamoja na mpinzani yeyote. Kumbukeni hilo, acheni kutafuta kuvurugana, mvurugeni mbaya wenu ccm si vinginevyo.
 
Kama ushindi wa CUF ulitokana na kuchukiwa kwa Ccm kwa nini na ACT nao wasipate hivyo viti kadhaa ukizingatia nao walisimamisha mgombea kila jumbo?
Kitila kesha julikana kuwa analinda kibarua chake serikalini
ni vyema ungejiuliza wewe wale washirika wengine wa ukawa kama Nccr na Nld, wameongeza wabunge wangapi..!?, Nccr kutoka wabunge Watano bunge lilipita mpaka mbunge mmoja bunge ili...Ha ha haa, hii ndio nguvu ya ukawa..!?

Nld kutoka kusikika japo kidg mpaka leo hakisikiki kabisa na kimejinyakulia viti zero....

lazma tutafakar kwa kina
 
Nadhani kuna kitu ambacho kimejificha kidogo na ndo maana wengi hatuingii kukiona. UKAWA ulileta hamasa zaidi kwa wananchi kwa sababu ya ile dhana ya umoja. Kuna usemi usemao; United we stand. Kwa maneno mengine ni kwamba, tulikuwa na kiu ya kuona ccm imeanguka, na ukweli ni kwamba, ccm nao walijua/wanajua, upinzani wakiungana, hakika watawaangusha. Ndo maana huwa wanajitahidi kwa kila mbinu kuitikisa upinzani wasiweze kusimama katika umoja.
Tangu UKAWA ianze kupinga katiba pendekezwa, mambo yalianza kuiendea mrama ccm. Hivyo, kitendo cha kumwingiza tena Lowasa kwao UKAWA ikatia chaji zaidi kwa wananchi kuanza kuamini kuwa, sasa ccm kwa kheri. Mipango ya kuwatikisa CUF na CDM ilivyo wiva hata Profesa na Dr wakaamua kubwaga manyanga tena katikati ya vita iliuua ule mori wa wananchi.
That is why, tunasema, Profesa aendelee kukaa kule kule alikoenda awaache wana CUF wajikongoje wenyewe.
Hata angelipewa ruksa kuingia ofisini leo, hawezi tena ongoza kwa nguvu yake ya kale. Aliiangusha CUF kwa kukimbia vitani. Full Stop.
Kitila is another pathetic. Afanye vyake huko ACT aongeze wabunge, aache kuyatangaza mapungufu ya upinzani. Unapoeleza mapungufu tuuu unauua upinzani.
Tungoje hata kukitokea chaguzi ndogo ACT ipite kwa sera zake. Lakini kwa mtindo huu wa kupambana na upinzani, mtabaki na huyo huyo mmoja. Mkuu kishawaambieni, hatokula pamoja na mpinzani yeyote. Kumbukeni hilo, acheni kutafuta kuvurugana, mvurugeni mbaya wenu ccm si vinginevyo.
vipi NCCR na NLD......... amasa iyo iliwasaidia nini mbna wanaonekana kwa wameanguka sana japo hamas unayo isema ww pia iliwahusu,
 
CUF KUPATA WABUNGE 10 ILIKUWA NI MIPANGO YA MUNGU NA SIO UKAWA ,
 
vipi NCCR na NLD......... amasa iyo iliwasaidia nini mbna wanaonekana kwa wameanguka sana japo hamas unayo isema ww pia iliwahusu,

We ni mgeni wa siasa mbovu za Tz?? Hukuona umafia uliotokea kule kwenye ngome yao?? Wako wapi walioegemea ACT? Kama ni NLD mwenyekiti wao si alikufa? Kila shekisheki ilileta matunda yake.
 
Nadhani kuna kitu ambacho kimejificha kidogo na ndo maana wengi hatuingii kukiona. UKAWA ulileta hamasa zaidi kwa wananchi kwa sababu ya ile dhana ya umoja. Kuna usemi usemao; United we stand. Kwa maneno mengine ni kwamba, tulikuwa na kiu ya kuona ccm imeanguka, na ukweli ni kwamba, ccm nao walijua/wanajua, upinzani wakiungana, hakika watawaangusha. Ndo maana huwa wanajitahidi kwa kila mbinu kuitikisa upinzani wasiweze kusimama katika umoja.
Tangu UKAWA ianze kupinga katiba pendekezwa, mambo yalianza kuiendea mrama ccm. Hivyo, kitendo cha kumwingiza tena Lowasa kwao UKAWA ikatia chaji zaidi kwa wananchi kuanza kuamini kuwa, sasa ccm kwa kheri. Mipango ya kuwatikisa CUF na CDM ilivyo wiva hata Profesa na Dr wakaamua kubwaga manyanga tena katikati ya vita iliuua ule mori wa wananchi.
That is why, tunasema, Profesa aendelee kukaa kule kule alikoenda awaache wana CUF wajikongoje wenyewe.
Hata angelipewa ruksa kuingia ofisini leo, hawezi tena ongoza kwa nguvu yake ya kale. Aliiangusha CUF kwa kukimbia vitani. Full Stop.
Kitila is another pathetic. Afanye vyake huko ACT aongeze wabunge, aache kuyatangaza mapungufu ya upinzani. Unapoeleza mapungufu tuuu unauua upinzani.
Tungoje hata kukitokea chaguzi ndogo ACT ipite kwa sera zake. Lakini kwa mtindo huu wa kupambana na upinzani, mtabaki na huyo huyo mmoja. Mkuu kishawaambieni, hatokula pamoja na mpinzani yeyote. Kumbukeni hilo, acheni kutafuta kuvurugana, mvurugeni mbaya wenu ccm si vinginevyo.

Mkuu hujamsoma vizuri na kumuelewa dhana yake

Sio kweli kwamba Lowassa ndio ameleta hao wabunge wa cuf kwa kuwa aliingia ukawa kwa miezi miwili tu kama cdm wanvyotaka kuaminisha
Mbona hatujaona ongezeko nccr au nld?

Kunatofauti kati ya ukawa na lowassa
Ukawa ulikuwepo kabla ya lowassa
Na mtafaruku wote huu ni kwasababu lowassa alikuja ukawa kwa kukosa ccm
 
Paul S,S
Naomba nikubaliane na weye kuwa sio Lowasa aliyewaleta hao wabunge ila nikuulize wewe; miongoni mwa wale tuliokuwa tuwasimamishe kugombea urais, ni nani angeliweza kutuletea kura 6m+?? Hizo kura si ni pamoja na kuongeza namba ya wabunge?? Jamani, mnyonge mnyongeni ila haki apewe. Si shabiki wa EL lakini nasema, ujio wake UKAWA tu ulileta joto flan la faida kwetu. Waliotimua mbio kama wangalikaaa na kukomaa hata kuomba ubunge sehemu mbali mbali za Tz nadhani ccm ingejua kuna vichwa upinzani.
 
prof.kakaa na cuf miaka 20.ajapata ata wabunge 3 bara sasa wana wabunge wwngi kupitia ukawa
 
Mapropesa uchwara....mapropesa njaaaa......mapropesa....ni shidaaa
 
Back
Top Bottom