ACT, CHADEMA wajitosa ugomvi wa CUF

ACT, CHADEMA wajitosa ugomvi wa CUF

Rebo Tz

Senior Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
169
Reaction score
125
Dar es Salaam. Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.

Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.

Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.
 
*MAJIBU YA PROF.KITILA KWA LISSU*

Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho. Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.

Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna. CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
 
Dar es Salaam. Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.

Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.
Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.
Hilo li Lissu na uchwara, utadhani lilichelewa kusema utotoni, kwa kung'ang'ania neno moja tu.
 
Unategemea Kitila aongee nini katika hili? The difference is the same kati ya Kitila na Lipumba! Wote wapo kimasilahi binafsi zaidi.
Lini Kitila aliwahi kuwa kimaslai, na ni wapi Lipumba alikua kimasla, kilicho ongelewa na wasomi hao kwa nyakat na mahala tofaut ni sawasawa na ndio ukwel wenyewe....

Lisu ahaminiki kisiasa, leo atasema hivi kesho atasema vile
 
Dar es Salaam. Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.

Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.
Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.
Lissu naye ana kauli uchwara!!!
 
Nasubiri Prof. Kitila afungue mashataka juu ya Lissu kwa kauli za kuudhi.
Hahaaaa...
 
Hawa wasomi mnaowaamini ndowanao liangamiza taifa hili kama wakina kitilya na lipumba nawengineo wasomi wabongo siowakutegemea
 
Watu wavivu kufikiri na kufanya utafiti wanafikiri ushindi Wa ubunge na madiwani kutoka ukawa ulisababishwa na ujio Wa lowassa na kundi lake !! this pathetic!! ni asilimia ndogo sana!! ushibdi wao au idadi kuongezeka ilitokana na kuchukiwa kwa CCM na wananchi waliyokuwa wamechoka ufisadi ndani ya chama tawala!!na ushindi waliyopata siyo wakujivunia hata kidogo maana ni small percentage ya wabunge compared to the powerful party CCM iliyoweza kushinda vyama vyote 4!Ni aibu ya mwaka Lissu kujisifia ushindi kupitia ukawa!!Nafiri hesabu alifeli mbaya sana!!
 
Back
Top Bottom