Acsee 2013 results

Hii wizara ya Mulugo ina mambo ya ajabu ajabu.Usishange yakatoka mwezi wa sita japo tarehe ya kuanza kuapply HESLB ni leo.
 
wala msijali kila mtu atapewa haki yake.usitegemee miujiza kama ya musa kwenye bahari ya sham
 
keep trustng hop advanc students were grown enough and they what they hv dd there.. Copard 2those form4 smtmz i cal them kids coz they were not grown enough.. We hop the results wl b gud 2we na subira
 
Wana Jf kuna ivi matokeo yakichele ni dalili mbaya au nzuri kwa si tunaesubiria matokeo ya acsee 2013?
 
keep trustng hop advanc students were grown enough and they what they hv dd there.. Copard 2those form4 smtmz i cal them kids coz they were not grown enough.. We hop the results wl b gud 2we na subira

Si ungeandika kiswahili hauoni unajitesa
 
watu kama nyie huwa mmesoma H kunani... Then mnaishia kupata div 3
Duh watu wanadharau 3 wakati ndio imenifanya niingie nayo na kugonga first class,anhaa nimekumbuka issue sio umeingia na nini sema umetoka na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…