Haijalishi utaangukia pua au la, tupo tayari kuwapa ushauri kadiri ya uwezo wetu. Mjitahidi kusema ukweli, pia kuandika kwa heshima.
Nasema hivyo, kuwa kuna thread ya kwanza kabisa kuhusu habari za matokeo, haikuja na habari njema, iliandikwa sawia, na nitalinganisha na hali itakavyokuwa.