Acrocarpus fraxinifolius investiments

Mchapakazi

Member
Feb 24, 2008
67
18
Kuna mtu yeyote mwenye kuweza kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha miti ya Agrocarpus? Au kama anauza huo ushauri pia nambie maana utaalamu ni pesa. Maelezo machache kuhusu huo mti yapo hapa: Species Information

Natanguliza shukrani.

Mchapakazi
 
Hauna something special.............ni mti tu wa kawaida mkuu ambao unaweza kukupatia mahitaji ya kawaida yatokanayo na mti!
 
Back
Top Bottom