mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
you have got a black out while wrtiting this thread,i think you are microcephalic...kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (zco) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka dr.ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki steven kanumba ya kuwa eti kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Wewe muuaji usitake kujikosha hapa. Wewe ni muuaji tu, na hakika siku zako zinahesabika. Mpuuzi sana weweKuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Embu nenda katubu Jangiri mkubwa wee. Usitutafutie BAN waungwana humu ndani. Hiyo michezo huu ndio mwisho wenu umefika. Siri sio Siri tena. Kajipange upya Uje na uzi wa kutubu na kukubali maovu yako. Firigisi mkubwa wee:boxing:Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
na hii itahusisha vita ya madaktari na polisi wote na familia zao, labda watatibiwa na polisi wenzao ambao ni madaktari, aulize yaliyotokea Kigoma vita ya Hosp ya mkoa na polisi miaka ya nyumaMsangi anajua kahusika, na vita aliyoianzisha na madokta inabidi ajifunze mbinu za kupambana nao, maana hawa madokta kama hawatomdhuru yeye, basi watawadhuru wote walio karibu naye...kama haamini, basi asubiri aone
HUYU jamaa ni jambazi. Alitajwa na Reginald Mengi katika sakata la kutaka kumwekea mwanawe madawa ya kulevya. Hana hadhi wala haki ya kuchunguza tukio la mpiganaji Ulimboka. Ajibu kwanza madai ya Mengi.
Join Date : 29th June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Umejiunga lini ? kwaajili ya nini ? Mijitu mingine hovyo.
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
jeshi la polisi ni kweli halihusiki mbona dr.kwa kauli yake amesema tuhuma zinazosambazwa kuhusu kamanda msangi sio za kweli na yeye wala hajasema kuwa arudishiwe simu yake na wallet yake na kamanda huyo.
kweli walimwengu waongo, hakuna ACP anayeitwa chagonja, pili huna uhakikika na elimu yake, tatu soma public sercvice act ujue watu wanaoruhisiwa kugoma kisheria, nne usikurupuke kuandika mambo ambayo huyajui