Achimba madini ndani ya Chumba chake, uchumi kitu makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Achimba madini ndani ya Chumba chake, uchumi kitu makini

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Candid Scope, Feb 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mkazi huyo wa eneo la M.R Hotel Miyomboni katika Manispaa ya Iringa ameibuka kuwa mkali wa wiki hii katika safu ya mtandao huu baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya chumba chake zioezi lililoanza zaidi ya wiki tatu sasa bila ya kukutana na madini hayo

  [​IMG]

  Polisi wakiingia kutazama machimbo hayo ndani ya nyumba ambako limechimwa shimo lenye andaki kubwa zaidi ya futi 60 sasa

  [​IMG]
  Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Grevas Ndaki kushoto akiwahoji wachimbaji wa madini hao ambao wamekuwa wakichimba madini hayo bila kibali cha manispaa japo yapo maneno kuwa si madini ya kawaida.

  Picha na maelezo kwa hisani ya Mzee wa Matukio daima.
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  labda alilala akaoteshwa pana madini hapo! si mbaya lakini maadam hajavamia ni eneo lake
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Hivi madini ni mali ya nani?
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 941
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ha ha haa mkuu umesahau madini ni mali ya nani?mali ya wazungu wanachukua 97%,na sisi tunabakia na 3%.
  Sisi watanzania tukikutwa tunachimba hata ndani ya nyumba zetu tunaletewa na polisi wanatukamata wanatuweka ndani.
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ashajua ukikuta nyumbani kwako kuna madini, ngeleja na timu yake watakuja, watadai madini ni rasilimali ya taifa. Kisha wamwamishe kwa nguvU kwa kisingizio wanaleta mwekezaji. Na wakimwonea huruma wampe hema la kulala.
  Suluhisho ye akaona achimbe mwenyewe mwenyewe humo ndani
   
Loading...