Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Habari wakuu,
Kila nikiangalia pande zote za dunia naona kabisa kama kijana ndoto zote nilizokuwa naota enzi niko shuleni na chuoni zitabaki kuwa ndoto tu.
Sijajua wengine wanawezaje kupataje pesa za kujenga, kulisha familia, na kuendesha gali, hili swala nikiliangalia naona kama ndoto kabisa.
Tunapambana huku nakule ila kupata pesa ni ngumu mno asikwambie mtu, labda kwa vile tumezungukwa na duara la umasikin kwan unapambana weeee ukiangalia nyuma mjomba, shangazi, Mzee, kaka, Dada yaani ukoo wote ni hoi hai, mpaka unaona kabisa nurke's theory of poverty ipo real yaan "if you born poor you will be poor and poor forever"
Kama umezaliwa masikin kujitoa kwenye hill duara, lazima nguvu ya ziada itumike (ikiwezekana nguvu za Giza kabisa ) kwa hali ya kawaida you can't.
Duara la umasikin linanguvu sana, usiombe kuzaliwa humoo.