Bado ni kocha mzuri na ndio maana simba wanasherehekea mpaka
leo,
anahitaji muda zaidi pia apate muda wa kusajili.
Anayesema Lwandamina hafai hajui Mpira. Nilikuwa na mengi
lakini nimekosa furaha leo acheni niishie hapo.
...Kazi itakuwa ngumu zaidi Yanga itakapovaana na Zanaco na kisha kutolewa, wanachama watakosa uvumilivu na hapo ndipo kimbembe cha kufukuzwa kitakapoanza, bado tuna safari ndefu sana katika soka letu! Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa hawa miamba wawili wanaajiri kocha kwa sababu zao wanazozijua wao, kinyume na hapo hamna kitu!
Poleni watani, ila kikosi chenu kinahitaji marekebisho hasa beki na viungo wepesi. Leo Yanga wengi wanatukana ovyo lakini hiyo hali sisi wamatopeni tulishazoea na kukomaa.Hivyo kuwafunga jana ilikuwa lazima ili kupunguza dharau
Yote hayo ni kwa kuwa Yanga imefungwa na Simba! Mbona ha Pluijm aliokolewa kwa mbeleko ya refa kwenye pambano la raundi ya kwanza?
Yanga lazima wakubali Simba ni timu bora kuliko wao, hata kwenye mechi ya kwanza refa ndiye aliyewaokoa. Yanga ktk michezo yote miwili walikuwa wakicheza kama underdogs, walikuwa hawajiamini hata pale Simba walipokuwa pungufu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.