Kaka...nikikuomba utaninyima eti?mkuu pole sana, ndio walivo hawa, wavumilie tu!
ntakuskiliza kwanza dada!Kaka...nikikuomba utaninyima eti?
Ha ha ha eti utanisikiliza! Haya bwanantakuskiliza kwanza dada!
Ha ha ha eti utanisikiliza! Haya bwana
Ili unielewe natakiwa kufanyaje? Maana naweza nikawa nina shida kweli na usinielewe vile vilena nisipokuelewa sikupi!
Ili unielewe natakiwa kufanyaje? Maana naweza nikawa nina shida kweli na usinielewe vile vile
"Ujiongeze" . hapo kwenye hilo neno kuna utata. Ha ha haaatatizo shida ikikuzidi unapoteza kujiamini, inakuwa shida kueleweka! ili nikuelewe inabidi "ujiongeze"
Nimekomenti huu uzi kwasababu ya avatar yako. Kama ni mzuri kama avator yako ebu ni pm tukaaribu akaunti yangu.Nilichopenda ni kua umelenga kote kote, hujabase upande mmoja, hii inaonyesha hujaandika ukiwa na stress...big up!