Acheni Siasa: Kuna haja ya kutumia Technology kulinda Mbuga za wanyama na Mbadiliko ya Tabianchi

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Toka kuumbwa kwa dunia hizi mbuga za wanyama zilikuwa hivyohivyo mpaka leo. Mabadiliko ya tabia nchi yameharibu kila kitu. Mito imekauka na baadhi ya maziwa yamekauka hata uoto wa asili umepotea sasa. Kutoka na ujinga wa waliyotutangulia, Majangili wameua wanyama kwa mika mingi sana ujangili umeshamiri sana kiasi cha kupteza kabisa baadhi ya wanyama. Kuna siku mbuga zitakuwa jangwa na wanyama wote watakufa kwa kukosa maji.
Tupo tayari kukaa na mambuga bila hata mnyama mmoja kwenye mbuga?

Kazi sasa kwa kizazi hiki ni kutumia science na technology bamoja na utaalam wa tabia za wanyama na uoto wa asili kurudisha vyanzo vya maji katika mbuga zetu. Nahilinalo tunahitaji wazungu kuja kutufanyia.

Mwaaaafaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom