Acheni ngono zembe

Hold on....!!
Unazungumzia wanaume wa sayari gani? Wenye hizo nguvu za kugegedana hivyo?[emoji23][emoji23]acha utani wewe?
Hata kama ni mfano Fanya kutoa mifano yenye uhalisia kidogo basi.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ananizungumzia mimi hapa
 
Kwa wanawake wa sasa inawezekana tena ukiwa uswahilini na ugumu wa maisha wa sasa.

Kuna jamaa yangu anakaa uswahilini sasa wanawake wanavyo jisogeza kwake kwa kuwa anatumia usafiri wa kampuni na amechukua nyumba upande na yuko peke yake.

Akiwa yupo off au weekend wanawake 4 mpaka wa 5 kwa siku huwa wanapewa dozi na wengine hujileta bila ratiba na kuishia getini pasipo kuingia ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimfatilia nani akitenda hayo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hapo G na A watakua wamekutana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…