NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
naona leo umeamua
Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, wengine wanaongeza elimu ili mradi tu kulinda kibarua. Ila kuna wengine wao wana protect vibarua vyao kwa kupiga majungu, kupeleka umbea kwa boss, kusengenya wenzao waonekane wabaya. This is soooooooooooooooooooooo BAD. Kuna baadhi ya makabila ni wazuri sana kwenye hili sitatja kabila ila wapo kama huku kanda ya kaskazini kuna kabila fulani bana ukifanya nao kazi aaaaaaaaaaah wao ni UNAFIKI KWA KWENDA MBELE. I HATE THEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM.

Off topic, avatar once again, sorry!! 🙂
Amyner, that shade, that lipstick, that paint, that woteva is on ya lips you may call ain't really sexy as it suggests above! Looks kinda an accident... lips accidentally coming onto close contact with a cheeta's arse!! I know the likely of this is rare but can't figure wot else would resemble that... :O
..and you couldn't have PM'ed her?
At times, pms are a hassle!
When you feel like commenting within a thread!How so?
nimecheka kwa ujumbe wako.ninachokupendea you are so real,ingawa kwa uliyoyasema sijui kama ni ya kweli au si ya kweliHata hapa JF wapika majunungu, wapakuaji, na walaji wemejaa tele.
Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, wengine wanaongeza elimu ili mradi tu kulinda kibarua. Ila kuna wengine wao wana protect vibarua vyao kwa kupiga majungu, kupeleka umbea kwa boss, kusengenya wenzao waonekane wabaya. This is soooooooooooooooooooooo BAD. Kuna baadhi ya makabila ni wazuri sana kwenye hili sitatja kabila ila wapo kama huku kanda ya kaskazini kuna kabila fulani bana ukifanya nao kazi aaaaaaaaaaah wao ni UNAFIKI KWA KWENDA MBELE. I HATE THEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM.
<br />kwani wewe unafanya kazi na wehehe??