Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Kuna picha nimeiona sehemu imenifanya niyatafakali sana maisha yetu hapa duniani.huyu mzee enzi za ujana wake au tuseme mwaka 1996-1997 hapo alikuwa ni mtu wa heshima zake,alikuwa na pesa,nyumba nzuri na gari nzuri bila kusahau kazi nzuri akiwa mshauri wa rais mobutu ila sasa ni masikini na omba omba mtaani
Wapo vijana waliokuwa na vyeo vidogo tu jeshi la Zaire ila leo wanaishi maisha mazuri huko Ulaya lakini huyu mzee na Elimu yake yote na cheo kikubwa alichokuwa nacho leo yupo hivo,kutoka maisha ya mshahara wa zaidi ya tsh 20m kwa mwezi (makadirio ya haraka)

kubwa sana.alafu ukiangalia mkononi alikuwa anavaa saa ya dhahabu enzi zake