Anhaaaa.... kumbee...Aisee sijui tu nitaachaje kula kucha najitahidi sana ila nashindwa
Aisee sijui tu nitaachaje kula kucha najitahidi sana ila nashindwa
Mchumba wangu (roommate [emoji23][emoji23][emoji23]) chuo alikua anang'ata kucha mpaka akawa anafikia kwenye nyama... Yaani unajiuliza, kama sio mapepo ni nini? Unatafuna hadi nyama!?
ni wa kike huyo?Na huyo kwenye picha kazitafuna kweli jamani!!!
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji35] [emoji35]Halafu wanavyokuwa busy kutafuna kucha unabaki kushangaa tu. Utadhani kuna mtu anawachombeza wazitafune! Kidole kimoja baada ya kingine na ni kweli wengi hugusa nyama halafu wakimaliza hata hawanawi mikono yao iliyojaa mimate lol!
naona kama dume vile!!!ni wa kike huyo?
Pole ila nakushaur ununueTuhurumieni tu, maana tumekuwa addicted siyo rahisi kuacha.
Nail cutter inaweza kuwa mfuko wa shati, lakini najikuta kuccha ziko mdomoni.Pole ila nakushaur ununue
nail cutter mkuu
Uhm sasa hilo ni tatizo ila ukiamua utabadilika mdogo mdogoNail cutter inaweza kuwa mfuko wa shati, lakini najikuta kuccha ziko mdomoni.