Hii tabia inaniudhi sana. Halafu ni rahisi kupata magonjwa kwani hao watafuna kucha huwa hata hawakumbuki mikono yao imepita mitaa ipi.
Hata pete ya uchumba haionekani bali udogo wa kucha ndio unakamata attention ya watu wengiView attachment 498864
Kweli kabisa ila watafuna kucha ni wa kuwahurumia maana ni uteja flan kuacha ni ngumu sana
Tongozo hilo ndio limesababisha, jamaa kaimbisha sana! Binti kang'ata kucha, kaharibu miti na mazingira ! Haikuwa rahisi mpaka kukubaliwa!Hata pete ya uchumba haionekani bali udogo wa kucha ndio unakamata attention ya watu wengiView attachment 498864
Aisee sijui tu nitaachaje kula kucha najitahidi sana ila nashindwa
Ni ugonjwa, sio kwamba wanapenda
Tuhurumieni tu, maana tumekuwa addicted siyo rahisi kuacha.
Ni Ngumu sana kuacha nimejaribu sana..unaweza kujilazimisha kuacha ..ukapata mawazo flan unawaza..ukija shtuka Mkono upo kwa mdomo....inatokana na kuwa idle...na ukiwa mpweke
Aisee sijui tu nitaachaje kula kucha najitahidi sana ila nashindwa