Acheni kumbeza Mzee wa Msoga

😁😁😁
1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Hakika.....

Ni ukosefu wa uelewa tu kuwashambulia na kuwazodoa MARAIS WASTAAFU.....

Tanzania yetu ni mfano wa kuigwa kwa MARAIS kupeana vijiti kwa amani.....hili nalo hatulioni?!!!
Hili nalo ni dogo?!!
Hili nalo si la kupongezwa na kujivunia?!!

Hili haliwezi kuigwa na Kenya ,Uganda ,Burundi ,Rwanda ,Msumbiji ,DRC ,Liberia ,Sierra Leone na kwingineko?!!!
Sasa ulitaka Marais wa Chama kimoja ambao muda wao umekwisha wasipeane kijiti kwa Amani ? (Wakati aliyetoka ana mchango kwa anayeingia ?

Mkuu naona hapa ni kama kumsifia ngombe kula majani.... All in All Tanzania ni nchi ya Kuigwa kwa wananchi wake kuwa peace (sio viongozi namaanisha wananchi) pia kuwa na undugu bila Ukabila jambo ambalo naona watu wanataka kuharibu kazi kubwa iliyofanyika kuhusu hilo..., Hayo mengine ya hivi Vyama / Chama ni kama Kansa tu kwenye mwili, they are far from Perfect....
 
Ndio maana Mungu wa kweli amemuondowa haraka Magufuli aliyekuwa anachochea chuki na kuleta ubanguzi miongoni mwa Watanzania.

Hakika huyu jamaa alikuwa ni mkosi kwa Taifa.
 
Ni kweli ila Mungu anatumia watu, na ndio akamtumia JK. Angeweza hata kumsingizia case amfukuze uanachama au kumtumbua uwaziri ili ampoteze kisiasa, kwani alikuwa na mamlaka kwa wakati ule, tena mamlaka makubwa mno, ila mzee wa watu hakuwa na hiyana.

JK, JPM! Wote ni wachapakazi ila wametofautiana kiutendaji, JK hakuwa mkali ila JPM alikuwa mkali.

Watu waovu na wapigaji walitumia upole na ukimya wa mzee JK kufanya maovu na kumchafulia jina, ila mzee alikuwa kimya tu hakudili nao. Kama mnavyojua mzee wa Msoga alikuwa ni mtu mwenye haya mno katika suala la kumtumbua mtu au kumuwajibisha mtu.

Waovu wakatumia udhaifu huo wa JK.

Tuwaombee wastaafu na kuwapongeza mno kwa kazi ngumu ya kudumisha amani katika kukabidhiana vijiti. Heko kwao, huo ndio uzalendo na Utanzania.
tayari mmeshaanza kumtaja mungu kwe haya mambo yenu ya kisiasa, ndio maana ht wanasiasa cku hizi wanadai nao wametumwa na mungu loh, achen kumsingzia mungu
 
Lugha zakisiasa hizo wewe!

Waliosimama na Jonh ni Kadinali Pengo na Mzee Mkapa! Hawa ndiyo walisema huyo ni mtu wao!

Kikwete chaguo lake alikua Membe na Asha Rose Migiro! Ndiyo maana hawa wamama walitinga hadi kwenye 3 Bora!

Jonh siku ya kwanza anazindua bunge,alipiga dongo kwa Mzee wa msoga,anasafiri sana hadi anasahau kwenda kusalimia nyumbani kwao!

Jonh na Makonda wakaja wakamwita Ridhwan kwenye kamati ya kuhoji wauza madawa ya kulevya! Mzee wa msoga,alienda Ikulu kama mara mbili hivi kwa kile kipindi! Sijui alikua anaenda kufanya nini

Jonh alimpeleka Mahakamani mdogo wake Rostam Aziz! Rostam akarudi Tanzania toka huko alikokua na kuja kuimaliza kesi,na alienda hadi Ikulu,kuonana na Jonh

Sina mengi zaidi,jaribu kukonekiti doti
Wagombea wa Kikwete Membe na Migiro hakuna aliyefika tatu bora.

Tatu bora waliingia January Makamba, Amina Ally na Magufuli.

Kura halali Amina Ally kutoka Zanzibar ndio alishinda.

Hili la Samia kuwa Rais ni haki ya Wazanzibar na wanawake waliyoporwa na wahafidhina tangu mwaka 2015,

Wengi mnaweza kushangazwa huyu mwanamke alishindaje ni kundi la Lowasa ndio lilikuwa na kura za maamuzi na ndio maana walianza kumshughulikia Membe mapema.

Ccm kupinduwa matokeo ni mabingwa, kama mna akili timamu jiulizeni yule mama mpaka leo yuko wapi? Je kwanini yeye hakuteuliwa kuwa mgombea mwenza?
 
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?

Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.

Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?

Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.

Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.

Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!
Mkuu wafu hawana sehemu katika waishio, Mwache apumzike Mzee wa Watu au bado una bifu naye? Mfuate.
 
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?

Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.

Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?

Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.

Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.

Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!
Ngoja wajuzi waje.
Hii yote ni hasira kutoka kwenye uzi wa historia yake.
 
Hujui kabisa! Tena hujui kabisa! Tano Bora walikua!
1. Magufuli
2. Migiro
3. Balozi Amina Ally
4. Membe
5. January!

Tatu Bora walikua
1. Magufuli
2. Migiro
3. Balozi Amina Ally
Naona unademka tu, wapi nimeandika kuhusu tano bora?

Ukweli unabaki mshindi alikuwa Amina Ally, Wazanzibar waliporwa haki yao na Mungu ameirudisha kwa style nyingine kupitia kwa Samia.
 
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?

Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.

Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?

Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.

Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.

Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!
Kwani kumbeza kwa lipi? Sidhani kama kuna Rais aliyetokea kupendwa kama JK.
 
Lugha zakisiasa hizo wewe!

Waliosimama na Jonh ni Kadinali Pengo na Mzee Mkapa! Hawa ndiyo walisema huyo ni mtu wao!

Kikwete chaguo lake alikua Membe na Asha Rose Migiro! Ndiyo maana hawa wamama walitinga hadi kwenye 3 Bora!

Jonh siku ya kwanza anazindua bunge,alipiga dongo kwa Mzee wa msoga,anasafiri sana hadi anasahau kwenda kusalimia nyumbani kwao!

Jonh na Makonda wakaja wakamwita Ridhwan kwenye kamati ya kuhoji wauza madawa ya kulevya! Mzee wa msoga,alienda Ikulu kama mara mbili hivi kwa kile kipindi! Sijui alikua anaenda kufanya nini

Jonh alimpeleka Mahakamani mdogo wake Rostam Aziz! Rostam akarudi Tanzania toka huko alikokua na kuja kuimaliza kesi,na alienda hadi Ikulu,kuonana na Jonh

Sina mengi zaidi,jaribu kukonekiti doti
Sasa kumuambia anasafiri sana ni vibaya? Hiyo haitoshi kusema amemtusi. Si tusi na haikuwa kwa chuki bali kwa nia njema.
 
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?

Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.

Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?

Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.

Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.

Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!
Katuharibia na anaruharibia mambo mengi sana.kwa ufupi ni kichaka cha mabepari.Hana uchungu na maskini ila huyo jamaa mjanja balaa
 
Back
Top Bottom