Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?
Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.
Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?
Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.
Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.
Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!