Kumbe ajira zenu ni hizi?
Nyani Ngabu - mchimba makaburi wailesi
ruttashobolwa - hakimu mahakama ya mwanzo kiburugwa
Madam B- paparazi gazeti la kiu
Babu DC- mstaafu afrika mashariki
The Boss - hedimasta tambaza (afazali kidogo huyu).
Mr Rocky -akauntant wa finca
Erickb52 - chalii,kapiga debe stendi moshi
Lizzy - nesi
Mamndenyi - bi mkora in real life,anafuga mapaka mwananyamala
sweetlady - sekeletare wa mzee Slaa
nitonye - mfanyabiashara maarufu
Vin Diesel - mpigaji,patna wa papaa msofe
Asprin - mchoma nyama fyatanga
cacico - mhudumu fyatanga
BADILI TABIA - mhudumu fyatanga
Yummy - mhudumu fyatanga
Kongosho - mwosha vyombo fyatanga,sa ingine anaosha magari na pia mlinzi
AshaDii - bodegadiwa sofia simba
Mtambuzi - karani mahakama ya kisutu
Young Master - yuko intern muhimbili
Bishanga - hedge fund mananger, bank of scotland,new york branch.
.........itaendelea
sijagombana na mtu mimi jana. Acha kunisingizia wewe bjLabda anapenda harufu ya vumbi,kwi kwi kwi.
Halafu we jana kwa nini umegombana na babuDC? Ntakusemea kwa mama.
babu Mtambuzi mi miss story zako za kila ijumaa, cant wait!
Mtambuzi na mimi ntakuwepo...i hope C6 anapajua hapo nije naye!!!
Kumbe ajira zenu ni hizi?
Nyani Ngabu - mchimba makaburi wailesi
ruttashobolwa - hakimu mahakama ya mwanzo kiburugwa
Madam B- paparazi gazeti la kiu
Babu DC- mstaafu afrika mashariki
The Boss - hedimasta tambaza (afazali kidogo huyu).
Mr Rocky -akauntant wa finca
Erickb52 - chalii,kapiga debe stendi moshi
Lizzy - nesi
Mamndenyi - bi mkora in real life,anafuga mapaka mwananyamala
sweetlady - sekeletare wa mzee Slaa
nitonye - mfanyabiashara maarufu
Vin Diesel - mpigaji,patna wa papaa msofe
Asprin - mchoma nyama fyatanga
cacico - mhudumu fyatanga
BADILI TABIA - mhudumu fyatanga
Yummy - mhudumu fyatanga
Kongosho - mwosha vyombo fyatanga,sa ingine anaosha magari na pia mlinzi
AshaDii - bodegadiwa sofia simba
Mtambuzi - karani mahakama ya kisutu
Young Master - yuko intern muhimbili
Bishanga - hedge fund mananger, bank of scotland,new york branch.
.........itaendelea
Hahahahahaha nagaulila
Mleke mkazi wange ali mulungi muno na yela muno. Amaisho otagamba.
Tanmo mshauri nasaha wa Angaza. Napima ukimwi, kama kuna mtu anahitaji huduma yangu ani-PM..
Tutakutana Chumbani,nilikwambiaje?
....mwenyewe.
Kama unanisema mimi m-baya, Rutta kanipenda hvo hvo.
Na Rutta ukija hapa kujibu hyo lugha yenu,Ugomvi nauhamishia Chumbani.