Acheni kujichubua

Hawajui tu ngozi kukaa vizuri ni lishe bora , maji ya kutosha na mazoezi inatosha,kidogo na mafuta ya kujikinga na baridi kali na mionzi mikali ya jua kwisha.
si ndo hapo mkuu🀣

ke wanapenda chipsi halafu wanataka ngozi nyororo, hawajui hivyo vitu haviendani

unashindia chipsi chunusi zikuache?🀣
 
si ndo hapo mkuu🀣

ke wanapenda chipsi halafu wanataka ngozi nyororo, hawajui hivyo vitu haviendani

unashindia chipsi chunusi zikuache?🀣
Ila siku hiz lile wimbi la wadada kujichubua mtu anabaki kama ndizi choma limepungua , siku hizi wanapaka mikorogo ya ghali kidgo , labda uswazi sna wale wa Dira kuchomekewa kwa vyupi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…