Reference please...
Maana sijawahi kuona mahali ambapo pana ahadi ya namna hiyo 'official'..
Ku cheat ni kudanganya. Na katika mapenzi, kucheat ina maana kumdanganya mtu unampenda (au unampenda yeye tu), wakati haumpendi, au unampenda yeye na mwi/wengine...
Kwa hiyo, the cheating principle states that; "Ikiwa mtu una mpenzi/mke/mume unayempenda kiukweli, na ikatokea kwa 'bahati mbaya' ukafanya ngono na mtu mwingine ambaye haumpendi (pia haumchukii) (mara moja au kwa kurudia), basi hujamchiti mpenzi/mke/mume wako"
sawa tuu mbona yote ni perspective ya mtu...ila nawewe usije lia mie nikikugegedea demu/mke wako
What do you do when you have a girlfriend; mnakubaliana kuwa kila mtu anaweza date mtu mwingine au?
sawa tuu mbona yote ni perspective ya mtu...ila nawewe usije lia mie nikikugegedea demu/mke wako[/QUOTE said:Hakyanani hata nikikutegeshwa hapo saa hizi huwezi... utaishia kuhema kama mbwa wa kova aliyetoka kuzuia maandamano ya CDM...
nimekumisije heri ya mwak ampya kaka yangu Tukoku cheat ni kudanganya. Na katika mapenzi, kucheat ina maana kumdanganya mtu unampenda (au unampenda yeye tu), wakati haumpendi, au unampenda yeye na mwi/wengine...
Kwa hiyo, the cheating principle states that; "ikiwa mtu una mpenzi/mke/mume unayempenda kiukweli, na ikatokea kwa 'bahati mbaya' ukafanya ngono na mtu mwingine ambaye haumpendi (pia haumchukii) (mara moja au kwa kurudia), basi hujamchiti mpenzi/mke/mume wako"
msibishe... Imesibitishwa maabara na wataalamu wa mapenzi waliobobea, wakiongozwa na mimi mwenyewe...
Ukiona njigi utataka kuziita njege na ukiona njege utataka kuziita njigi....
Your way of understanding cheating aint right until you understand different categories of relationships (i.e Men&Women).
Mbulaa...
Watanzania mko wabishi...
Officially kuna sehemu wanaambiana watapendana, watatunzana, watavumiliana katika shida na raha, afya na maradhi.... na bla bla zingine. Ila hakuna wanapoambiana kuwa hawatakuwa na mwingine kwa kipindi chote...
Mbulaa...
Watanzania mko wabishi...
Mbulaaa ni msamiati gani aishe Tuko? Ila cheating zipo tu asikudanganye mtu!! Watu hawako wakweli kabisa si ofisini, si majumbani!! Cheating mtindo mmoja tu! That is kwenda kinyume cha makubaliano, mfano kutotimiza majukumu ya ofisi ukashinda JF ni cheating!! Ha ha ha!! Tukijulina twafa!
Kaanzishe dini yako ambayo katika kiapo utaongeza hayo maneno yako kuwa pamoja na kuvuliana ,kupendana na kutunzana,unaruhusiwa kuwa na mahusiano ya nje.
Hahaha katika ulimwengu wa elites hakuna msamiati ubishi we chalii yangu, watu wanakuja na facts sio nadharia....na leo utashangaa Kichaga na Kiarusha
Hapa inategemea unaongea aina gani ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI...
Kwenye mahusiano CLOSED cheating ni sumu "numberi uno"....
Ila kama waongelea "No Strings Attached" kind of a relationship, ooh boy your ideology stands tall!!
Kuwa closed au kuwa open haina shida chalii yangu, ili mradi kusiwe na upe... na upendo...