Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,924
- 20,912
Fresh niajeMambo
Fresh niajeMambo
Upo kumbe!Kuna watu ni wavivu wa kuoga hadi wanakera
Nipo mkuu wew je?Upo kumbe!
Karibu nyumbani.Nipo mkuu wew je?
Hatariunakuta demu mzuri, ila kwa uchafu sasa 🤧
Wewe kwenye nyuzi zangu wewe ni chengaInasikitisha sana
Inasikitisha sana mkuu 😂Wewe kwenye nyuzi zangu wewe ni chenga
Nipatie nafasi nikupige deki, seems una ofisi safi sana bibie😍holoholo njoo leo unisaidie nimekutana nawatu wanatapisha sasa naelewa sio mdomo au wapi yaani huyo dada alikuwa yupo kwenye coaster aki mpisha majanga
Eh hadharani unasema hivyoo huna adabu aiseeNipatie nafasi nikupige deki, seems una ofisi safi sana bibie😍
Ujue kuwa nimekupenda bila hiyana.Eh hadharani unasema hivyoo huna adabu aisee
Eh eh we vipi?? Mie sitakiUjue kuwa nimekupenda bila hiyana.
Nakuja pm baby❤️
HahaEh eh we vipi?? Mie sitaki
Sitaki uchokoziiHaha