SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,799
- 8,986
Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,.
Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo.
Jingine mtu haogi vizuri
Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi unamchana ananuka makwapa hadi unaweza umwa na kichwa . Yaani haina harufu maalumu .
Wengine wanaume kwa wanawake hawafui nguo zao za ndani vizuri au kabisa ukikaa nao akijiachia kuna kaarufu kanatoka hakaeleweki nako kanaboa .
Mtu anajitahidi kufika kazini fresh ngoja aende choo mara moja au mbili kwa badhii ya wanawake wanaharufu mbaya sana .
Jamani acheni hizi tabia kuweni wasafi mnahatarisha afya zetu na afya za nyie watu ambao hampo wasafi wa mwili.
OGeni
Pigeni mswaki
Fueni nguo zenu za ndani na muwe na nguo zandani zakubadilisha