beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,879
- 6,356
Mkazi wa kijiji cha Buhembe, mkoani mara, Martha Hussein 'Bhoke' amecharangwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake kwa kutumia Sh 5,000 ya matumizi ya nyumbani kwa kumnunulia babu yake blanketi.
Bhoke alishambuliwa shingoni, mikono yake yote na kumchoma kisu shingoni huku akimtaka amrudishie sh 5,000 zake ama sivyo mwisho wa maisha yake umefika.