Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jul 20, 2012 #1 Kile chama cha (sijui kinaitwa Infid....) nadhani jana walivunja jungu, hapa ni mwenyekiti na katibu wa chama
Kile chama cha (sijui kinaitwa Infid....) nadhani jana walivunja jungu, hapa ni mwenyekiti na katibu wa chama
cacico JF-Expert Member Mar 27, 2012 8,362 7,797 Jul 20, 2012 #2 ijumaa kareem Katavi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,779 Jul 20, 2012 #3 Hee! Kumbe ndiyo yanakuaga hivi ? Binadamu aisey!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jul 20, 2012 Thread starter #4 cacico said: ijumaa kareem Katavi! Click to expand... Asante sana cacico, nawe uwe na ijumaa safi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,779 Jul 20, 2012 #5 cacico said: ijumaa kareem Katavi! Click to expand... Asalaam aleykum! Hawa mineno wa Ijumaa , unawatoa kwa kuangalia sura wa mtu au? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cacico said: ijumaa kareem Katavi! Click to expand... Asalaam aleykum! Hawa mineno wa Ijumaa , unawatoa kwa kuangalia sura wa mtu au?
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jul 20, 2012 Thread starter #6 Judgement said: Hee! Kumbe ndiyo yanakuaga hivi ? Binadamu aisey! Click to expand... Wewe na yule nanihii si ndio mlikuwa mnafanyiana hivi?? Ulikuwa hujui??
Judgement said: Hee! Kumbe ndiyo yanakuaga hivi ? Binadamu aisey! Click to expand... Wewe na yule nanihii si ndio mlikuwa mnafanyiana hivi?? Ulikuwa hujui??
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jul 20, 2012 Thread starter #7 Judgement said: Asalaam aleykum! Hawa mineno wa Ijumaa , unawatoa kwa kuangalia sura wa mtu au? Click to expand... Tehe tehe eeh.......acha wivu wewe..
Judgement said: Asalaam aleykum! Hawa mineno wa Ijumaa , unawatoa kwa kuangalia sura wa mtu au? Click to expand... Tehe tehe eeh.......acha wivu wewe..
KARIA JF-Expert Member Jan 15, 2011 717 472 Jul 20, 2012 #8 Katavi said: Kile chama cha (sijui kinaitwa Infid....) nadhani jana walivunja jungu, hapa ni mwenyekiti na katibu wa chama View attachment 59317 Click to expand... Audhubillah! Mambo haya siyo tu mwezi huu wa toba ila hayatakiwi miezi yote 12!
Katavi said: Kile chama cha (sijui kinaitwa Infid....) nadhani jana walivunja jungu, hapa ni mwenyekiti na katibu wa chama View attachment 59317 Click to expand... Audhubillah! Mambo haya siyo tu mwezi huu wa toba ila hayatakiwi miezi yote 12!