meckie Member Joined Feb 3, 2017 Posts 22 Reaction score 10 Mar 20, 2017 #1 Hatunywi sumu..hatujinyongiii...tararara....mbele kwa mbelee..tumeipenda wenyewe..chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe....tantaaa..acha waisome namba ee..watasoma nambaa....(jamn haka kawimbo alietunga aliona mpaka mwaka huu)
Hatunywi sumu..hatujinyongiii...tararara....mbele kwa mbelee..tumeipenda wenyewe..chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe....tantaaa..acha waisome namba ee..watasoma nambaa....(jamn haka kawimbo alietunga aliona mpaka mwaka huu)
mikky79 Member Joined Dec 12, 2016 Posts 15 Reaction score 2 Mar 20, 2017 #2 Hakuna wa kuisoma ila walewale