Acha ujinga

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,715
Ni kwel unatamanisha ukivaa chupi na kuiita kimini, ni kweli wanaume watageuka sana njiani upitapo, NI kweli ukivaa chandarua unaonekana ROMANTIC kweli kweli, najua una lengo lako ila ujue kuwa BAISKELI HAITUMII MAFUTA YA TAA na kwamba MATAIRI YA TRENI TU NDO HAYAPATI PANCHA
ACHA UJINGA
: Kama kabla ya kuolewa au kuoa unakubali sex na kusema ni KISHIKIZO, Sasa ukishaolewa utakubali nini ili KUSHIKIA ndoa idumu??
DHAMBI HAINA RANGI
ACHA UJINGA
Ni sawa umefundishwa kuvaa nguo fupi maana uliambiwa una mguu wa bia, NI kweli na ndo maana unaishi kama mlevi mpaka unajikuta unaiacha miguuu yako wazi mbele ya wapita njia. Usisahau kuwa SI KILA MPITA NJIA NI MSAMARIA MWEMA, wengine hawana NJIA NYINGINE zaidi ya hiyo,
Miguu hata mbuni wanayo, ila wako ni spesho kwa mumeo
ACHA UJINGA
Kusifiwa kwamba wewe ni mrembo na ni mzur au ni mtanashati na watu wa jinsia tofauti na yako haimaanishi UTAWAFAA WOTE au unatabia nzuri kama nje unavyoonekana, umeubwa kwa mmoja tu..
KAMA UNABISHA WAKUBALI WOTE TUONE

ACHA UJINGA
 
nikweli waaache ujinga kabisaaa vijisket vifupiii utadhani walikosa nguo ndefu kachura kakosa mkia
 
we ndo uwache ujinga kupangia watu jinsi ya kuishi
mwache atembee ata uchi kama wewe upendi wengine ndo kivutio cha kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom