masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,218
Photoshop
bado kwa masai dada
pole sana maana diamond ndo kaivujisha mwenyewe
Anautaftia kiki wimbo wake huo mdomo unaofunika kidevu ni shiiider
Dadeeeeeeekiiiiiiiiiiiiiii
Heheeeeeee ndio naingia humu muda huuu naona denda la kufa mtu
Huyu jamaa anawafaidi lakini safi mbona okwi anakula dada zetu
kweliiii??
Huyu jamaa anawafaidi lakini safi mbona okwi anakula dada zetu
We huwatafunii??? Au kwa vile we sio maarufu
100% anawatafuna kishenzi
kakomaa sura nahisi dushe litakua na biceps