Acha pombe km ushafanya yafuatayo....

Acha pombe km ushafanya yafuatayo....

Kulewa na kusahau jinsia yako:A S-confused1::A S-confused1:
 
leta ndovu bariiidi! mi bado siko huko nikija fika ndo ntaacha
 
Nonsense.Beer sio maji mtu wangu achilia mbali hata kununua nguo,nguo viatu,kuzaa na mhudumu.Kwa mhudumu ni nani kama sio binadamu kama wengine.km una hofu na unadhani hawafai nenda ukaoe malaika ama kutoa huduma bar ni dhambi.wacha dharau na kwa sababu tu ya ufinyu wa akili.

Naona unajiribu kutuambia kwamba amewahi kujisaidia haja kubwa bar ama unajaribu kusema ukijisaidia haja kubwa ofisini ama kitandani kwako poa tu. think and walk out of the stupid box of ignorance.
 
no comment
 
1. Kujisaidia haja kubwa bar
2. Kubadilisha nguo bar
3. Kununua nguo bar
4. Kuzaa na mhudumu
5. Kupigana bar
6. Kufatwa na familia sana sana mke bar na fujo kuanza
7. Kusimamishwa kazini au kazi kuiweka rehani
8. Kukoroma bar
9. Kubakia peke yako bar mpk inafungwa
10. Kuondoka asubuhi
11. Kuoga bar
12. ongezea mengine

Kwa hii namba 3 itabidi wengi tuache kinywaji!
 
Back
Top Bottom