12. Kushindwa kumgegeda mkeo1. Kujisaidia haja kubwa bar
2. Kubadilisha nguo bar
3. Kununua nguo bar
4. Kuzaa na mhudumu
5. Kupigana bar
6. Kufatwa na familia sana sana mke bar na fujo kuanza
7. Kusimamishwa kazini au kazi kuiweka rehani
8. Kukoroma bar
9. Kubakia peke yako bar mpk inafungwa
10. Kuondoka asubuhi
11. Kuoga bar
12. ongezea mengine
Ha ha ha umenichekesha sana leo mkuu.Kushabikia ccm
.kulala na viatu
.kushindwa kula
.kukojoa,kutapika na kunya kitandani.
.kutukana ovyo njiani
.kuingia chumbani kwa mwenye nyumba ukidhani ni chumba chako.
.kulala mitaloni
.kumsalimia baba yako `sema kichaa wangu'
.kuongea kizungu wakati hata milango ya shule huijui(hujasoma)
#4 haina tatizo mbona.