Acha niwafunde kidogo Wanawake (Kitchen party)

I thought ni somo la nguvuuu
Looo
Hii ni tabia ya wachache tu, abnormal women.
 
Mimi nilifikiri kuna jipya la 6 kwa 6! au nilijua kuna staili nyingine ya kuvaa shanga! maana wengine sie na shanga, mate yanatutoka!
 
sasa shida ni kwamba hao mapekupeku na machakumbimbi huo hawako humu jf labda anikute home kwenye komputa na hasa tageti zao ni kicheni.
 
hahahaaaaa umewapa kitu cha maana wanatakiwa wakulipe kwa hii lecture, ngoja kuna Mpwa wangu nimemkoti hapa
 
Siku hizi inabidi haya makichenipate gala tulipie kiingilio baada ya masomo. Masomo ya uswazi, wengine hata jirani hatumjui anaitwa nani!
 
pole best ni majukumu ya kikazi yamekuzonga ndo mana uko bize usijali ila somo si ushapata best
Siku hizi inabidi haya makichenipate gala tulipie kiingilio baada ya masomo. Masomo ya uswazi, wengine hata jirani hatumjui anaitwa nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…