Acha niwafunde kidogo Wanawake (Kitchen party)

Acha niwafunde kidogo Wanawake (Kitchen party)

I thought ni somo la nguvuuu
Looo
Hii ni tabia ya wachache tu, abnormal women.
 
Mimi nilifikiri kuna jipya la 6 kwa 6! au nilijua kuna staili nyingine ya kuvaa shanga! maana wengine sie na shanga, mate yanatutoka!
 
sasa shida ni kwamba hao mapekupeku na machakumbimbi huo hawako humu jf labda anikute home kwenye komputa na hasa tageti zao ni kicheni.
 
hahahaaaaa umewapa kitu cha maana wanatakiwa wakulipe kwa hii lecture, ngoja kuna Mpwa wangu nimemkoti hapa
Mwanaume wa namna hiyo alimuonea wivu mkewe kwa kubaki nyumbani wakati yeye akienda job
siku moja kamwambia Mungu, naomba na mm niwe mwanamke nienjoy kama mke wangu, maana mm daily nakonda yeye ananenepa.
Mungu akamwambia sawa, kesho ukiamka asubuhi utakuwa mwanamke naye mkeo atakuwa mwanaume.
Na ikawa hivyo.
yule jamaa (mke kwa sasa) akaamka kesho yake, akamwandalia mumewe chai akaenda job yeye akabaki anaandaa watoto na kuwapeleka shule,
kwa ufupi, ilifika mpaka jioni bado anahangaika na kazi za nyumbani bila mafanikio mpaka mume na watoto wakarudi hata msosi hakuna. wakati enzi zake alikuwa anakuta nyumba safi, watoto wasafi, na msosi tayari.....na wife msafi......
basi kufika usiku yuko hoi taabani, na mumewe anataka haki ya ndoa, akatoa kwa shingo upande huku akilalama uchovu.
Usiku wa manane akaamka na kumwambia Mungu, ni bora nirudi hali yangu ya uanaume maana naona kuwa mwanamke ni mateso zaidi ya nilivyofikiria awali. Mungu hana hiyana, akamwambia poa, utarudi kuwa mwanaume, ila ni baada ya MIEZI 9, maana ulipolala na mumeo umepata MIMBA.
ASANTE.
 
Siku hizi inabidi haya makichenipate gala tulipie kiingilio baada ya masomo. Masomo ya uswazi, wengine hata jirani hatumjui anaitwa nani!
 
pole best ni majukumu ya kikazi yamekuzonga ndo mana uko bize usijali ila somo si ushapata best
Siku hizi inabidi haya makichenipate gala tulipie kiingilio baada ya masomo. Masomo ya uswazi, wengine hata jirani hatumjui anaitwa nani!
 
Back
Top Bottom