Vitabu vyote vitakatifu vinatuasa utahiriwa, kwa wakristo baada ya siku 9 mtoto kuzaliwa, sasa wewe sijui, una dini gani mkuu, uchafu huo
naomba nisaidie kumtafuta mmojawapo ili nione
Umepatia; na ndo maana yeyote nilowahi kumlamba akiniona anataka kukumbushia na wala hasemi kinachomfanya arudi tena. Anasuga eti "we mtam sana"
huku sipawezi atikaribu dimbani The hammer
Fuatilia matokeo ya utafiti wa ukimwi na malaria aliyoyazindua Kikwete leo
huku sipawezi ati
Kama inavyosemekana kwamba mwanamke ambaye hajatahiriwa, hisia zake kimapenzi ziko juu; hivyo hivyo hata mwanamume ambaye hajatahiriwa wanawake wanafagilia game lake kinoma.
Ukkoloni mamboleo hadi lini?
Kabla ya kuletewa vitabu vitakatifu Tanzania ilikuwepo tu; soma vizuri historia ndo utajua dini zililetwa nchini mwetu kwa sababu gani.
Mwanamalunde hakutahiriwa,
Mukama Lutinwa hakutahiriwa,
Kaihula Nkuba hakutahiriwa,
Mkwawa hakutahiriwa
Iweje ni niwe mfuasi wa mataifa? Naenzi mila na desturi za babu zangu.
Mada yako umeiandika kama unamweleza mwanao anaegoma kufanyiwa tohara
'
Binti,unazungumzia jambo la heshima kwa mwanaume,hebu kuwa na adabu,unaongea utadhani unaongea na mwanao!!