Acha niwafunde kidogo Wanaume

Lakini somo limewaingia akilini kwani ulitegemea nitoe thread gani si ya kuelimishaana jamani ila nimependa kaparagrafu kamwisho toka chini kimenikuna bigup meeeen
 
Naomba hayo maswali muulize huyu yeye atanisaidia Mtambuzi, na kaka Erickb52 watanisaidia hapo maana naona hatuelewani mm na wewe
 
Last edited by a moderator:
Ninahisi chembechembe za upotoshaji katika maandishi yako...
Hebu fafanua kwa manufaa ya wengine, tohara kwa mwanamke inapelekea vipi usafi?

nakubaliana na wewe kwa asilimia mia kuhusu usafi kwa mwanaume ila kumbuka hata mwanamke aliyetahiriwa ni msafi sana huwezi linganisha na asiyetahiri, Unajua misri wanawake waliotahiri ni zaidi ya 90% na kwao huo ni usafi
 
Advantage za kutotahiri: ule mkunjo wa prepuse(govi) unasugua vizuri kwenye G-SPOT.Kwa wale akina dada wenye shida ya kuingia kileleni, jaribuni kupata msaada kupitia hawa vijana wetu wa kanda ya ziwa.
Naamini hakuna jambo lenye advantage peke yake bila diasadvantage. Mwenye uelewa atuweke wazi kuhusu disadvantages za circumcission + Advantages za kutotahiri
 
kama ni utafiti ninao naweza hata toa hapa kwani kisomo changu nimefanya research siwezi toa post isiyokuwa na kichwa wala mkia hapa wewe naona unataka kunizingua nitoe huo utafiti nilioufanya hapa ili uone yaelekea hata wewe hujatahiriwa
Tatizo la wasomi wa siku hizi na hasa WATANZANIA ni kupokea mambo pasipo kufanya utafiti wa kina kuhusu jambo hilo.
 
mmapo mmbule ujo nkamu gwangu
Ninahisi chembechembe za upotoshaji katika maandishi yako...
Hebu fafanua kwa manufaa ya wengine, tohara kwa mwanamke inapelekea vipi usafi?
 
naomba nisaidie kumtafuta mmojawapo ili nione
Advantage za kutotahiri: ule mkunjo wa prepuse(govi) unasugua vizuri kwenye G-SPOT.Kwa wale akina dada wenye shida ya kuingia kileleni, jaribuni kupata msaada kupitia hawa vijana wetu wa kanda ya ziwa.
 
kama ni utafiti ninao naweza hata toa hapa kwani kisomo changu nimefanya research siwezi toa post isiyokuwa na kichwa wala mkia hapa wewe naona unataka kunizingua nitoe huo utafiti nilioufanya hapa ili uone yaelekea hata wewe hujatahiriwa

Umepatia; na ndo maana yeyote nilowahi kumlamba akiniona anataka kukumbushia na wala hasemi kinachomfanya arudi tena. Anasuga eti "we mtam sana"
 
Advantage za kutotahiri: ule mkunjo wa prepuse(govi) unasugua vizuri kwenye G-SPOT.Kwa wale akina dada wenye shida ya kuingia kileleni, jaribuni kupata msaada kupitia hawa vijana wetu wa kanda ya ziwa.

Baelezee bakuye baone!
 
naomba nisaidie kumtafuta mmojawapo ili nione

Tembelea kanda ya ziwa; na zaidi kwenye urban centres sio mijini, utaomba kuhama naye hadi ulipo. Kama hujapata mwenza ndo moja kwa moja mnaanza maisha - na ukimshawishi akatahiri utajuta kuupoteza huo utam.
 
Watu ambao inaaminika ndiyo researchers wazuri and probably ndiyo wenye takwimu zilizoonyeshwa kwenye uzi (Wazungu), asilimia kubwa wanamagovi. Ina maana hayo madhara wao hawayatambui?
 
kama ni utafiti ninao naweza hata toa hapa kwani kisomo changu nimefanya research siwezi toa post isiyokuwa na kichwa wala mkia hapa wewe naona unataka kunizingua nitoe huo utafiti nilioufanya hapa ili uone yaelekea hata wewe hujatahiriwa

Kisomo chako ni kukaririshwa na kufanyishwa vitest na vimitihani kulingana na matakwa ya waliokufundisha. Jisimamie pasipo kutaka max toka kwa Prof; fuatilia kwa kina na majibu yatakuwa tofauti na post yako.

Usafi ni usafi / uchafu ni uchafu - hata kama mwanaume ametahiriwa kama ni mchafu ni mchafu tu
 
Watu ambao inaaminika ndiyo researchers wazuri and probably ndiyo wenye takwimu zilizoonyeshwa kwenye uzi (Wazungu), asilimia kubwa wanamagovi. Ina maana hayo madhara wao hawayatambui?

Nasubiri atupe jibu .... tena sitoki JF hadi swali hili lijibiwe
 
Kwanini uko against?
because naona ni mutilation tu. Hamna haja ya circumcision. Kama ni smegma unayoita uchafu, hata waliokuwa circumcised wanayo, na mbona inaoshwa tu. Kwanza smegma is a lubricant, so labda ni uchafu wakati haitumimki but ikifika wakati wa faragha maybe u would apreciate it.Kuna watu wanasema uncircumcised men hawaenjoy kama circumcised men. Now thats just a straight up lie because the govi ina thousands of nerves, so kwa mantiki hiyo its obious nani anaenjoy zaidi. The only problem ni kwa wanaume wachache amabo wanakuwa na condition inaitwa phimosis ambapo magovi yao hayawezi kurudi nyuma na kusababisha maumivu wakati wa tendo. Then hapo sasa ni a medical condition inabidi ikatwe. Lakini si wote ambao wana phimosis wanaumia so sio lazima.Na habari ya kupunguza maambukizi si kweli. Zilifanyika research tatu Africa ambazo hazikumalizwa na hazikufanywa kwa watu wengi kiasi cha kutoa conclusion hiyo. Kwanza hiyo conclusion imewapa circumcised men confidence ya kutopata UKIMWI so wanaenda pekupeku. Ohoo wameula wa chuya, because maambukizi hayategemei kama uko circumcised au uncircumcised. Kuna watu wanang'ang'ani 'inapunguza'. We cheza na maisha, kama huyataki tupe si wengine.Wadhungu saa hizi wanahangaika kurudisha foreskin zao, especialy kwa wenye umri ulioenda. Wamejua thamani yake. Sasa hadi ije ikubalike huku kwetu nafikiri sitokuwepo kushuhudia.Na habari ya kupendezesha mtarimbo, tutazoea tu. Lol. Unaona haipendezi coz ushazoea zilizokatwa..tukistopisha hii proces ya circumcison itakuwa normal and PERFECT and NATURAL. 🙂
 
alafu basi tuwaache watoto wenyewe waamue wakikua. Tunawakata wakiwa wadogo without their will. I wont circumcise my sons
 
Kama inavyosemekana kwamba mwanamke ambaye hajatahiriwa, hisia zake kimapenzi ziko juu; hivyo hivyo hata mwanamume ambaye hajatahiriwa wanawake wanafagilia game lake kinoma.

uongo, halafu wewe itakua hujatahiriwa, umajuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…