Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
mbona sijaelewa
Maneno kuntu hayo mkuu Amavubi ila sisi wanaume hatuwezi kubali, eti ashike simu yangu ili iweje na kwa nini ikaitwa simu yangu na si yake mi hapana sigusi yake nae asiguse yanguKama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe. Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako