Mpaka imekuja point ya " usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu" manaake ulikua una expectation fulani juu ya huyo mtu, unafanya kitu in return maybe akuone mwema, au unatafta approval au kukubalika na hapo ndo maumivu yanapo anzia.
But trust me ukifanya swala kwa upend tu na kutoka moyoni, na kutotegemea chochote kutoka sehemu husika either kwakutoa support au msaada wa namna yoyote huwezi umia au kuja na maswali kwamba mbona kanilipa hivi kwa wema wote nlio mfanyia?
Nini namaanisha ? If you do something just do for love not anything else .
1 CORINTHIANS 16:14
Let all that you do be done in love