Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Uingize au usingize mademu geto lazima utakuwa topic kwao..., Majirani

Usipokuwa na utamaduni wa kuingiza mademu geto, pia watazani we Ni shoga pia.
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.


UZI TAYARI


Nisingejali image, maana kila mtu anaishi maisha anayotaka, ila ni kama kuleta laana kuleta Malaya ndani au tu kuwa na maisha yakulala nao hata guest.
 
Unazungumzia malaya au mademu bro......maana by definition ni vitu viwili tofauti. Unatukataza kipi kati ya ivyo
Kuingiza Wanawake tofauti kingono.

KAMA NI MMOJA HAINA SHIDA MKUU
 
Job true true.
Sasa mbona huko majuaa wana nyanduna na malaya lakini naona vijana wao ndio wanazidi kufanikiwa. E u nielewesheni hapo.
Hao malaya wenyewe wanataka hela, sasa mtu ambaye mishe haziendi hela za kununua malaya atatoa wap?
 
Muhimu uishi maisha yako; ukiangalia jamii, utaishi maisha ya kifungo ya kiunafiki.
 
Nilishakataa kumpeleka demu au Malaya gest wakati nachumba changu nimepanga nalipia. Huo ni ujinga kwenda lalia gest mashula yenye kunguni wa ufaransa na mashula yanayonuka shahawa Kama za mtoa post. Kila mtu na maisha yake naishi nitakavyo siangalii jamii itanionaje cause hawanilishi na hawaniveshi
Nakazia
 
Nilishakataa kumpeleka demu au Malaya gest wakati nachumba changu nimepanga nalipia. Huo ni ujinga kwenda lalia gest mashula yenye kunguni wa ufaransa na mashula yanayonuka shahawa Kama za mtoa post. Kila mtu na maisha yake naishi nitakavyo siangalii jamii itanionaje cause hawanilishi na hawaniveshi
Wewe ni punguani.
 
Kuna malya na mademu mtoa post ujaspecify hapo kismingi ni mbaya sna kuleta malaya geto kwko ila shda sahv nayo ngum kujua nani nj malaya nani

sie maanaa kla mtu anauza kw staili yake ila mwnmke w heshma ambae unahs mnaeza kuw na malengo gest kumpeleka jau wakuu...

Ila vijana weng wkat bado wnajtafuta kuenda lipia gest wkat dem kausha dam kashamkausha naul ya kuja 5k -10k na nauli ya kuondokachukua10k na kuendlea atakula 5k hapo roughly kama 25k inakarbia kuisha bado akamplek gest ya bei chee atleast 10 mpka 15k kwhyo wakuu (40k )

for one night asee wakuu mnafnya kaz wp au sis vijana wngne n maskin sna kw mwendo huo tutafnya maendleo kwl???


Wakuu tuoneane huruma kidgo ela hatuna lakn bado mbususu tunaztka sio sisi ni mahitaji ya kibaiolojia

NB
Shida ni gharama hatumudu wakuu hata sisi atupendi tunaaminn tukioa tutahama mitaa tulioish basi
Alaf kumufurhsha kla mtu au jamii inayokuznguka no ndoto
Wakuu

Huwez mpndeza kla mtu
Utakuw mtu saf wanatkuja kukukopa majiran ukawakacha wanakuona mtu mvaya vilevle amna jema kw jamii muhm huingilii uhur wa mtu na maisha yake wla kumtukana usijichoshe

NAWASILISHA
Kama huna hela basi nenda kwenye madanguro Mkuu.

Kuna mbususu mpka za 5000.
 
nyumba nimejenga mwenyewe halafu nipoteze hela kwenda gest?
kamachumba unalipa Kodi kwanini usiwe huru?mswahili ndiomana haiendelei kwuogopana nakuoneana aibu.
Kama upo kwako sawa.
 
Ntaacha labda kama walionizunguka ndo wanalipia Kodi ya chumba changu..au Binti ni mwenyeji wa hapo hapo kitaa..ila wabongo tumezid sana kufatilia mambo ya watu.ni zaidi ya CCTV camera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom