Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Mbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.

NI LAANA JUU YA LAANA.
yani tatizo sio majiran ni hali ya kulala na malaya in your bed of lies kweli??? vijana waache mara moja
 
Job true true.
Sasa mbona huko majuaa wana nyanduna na malaya lakini naona vijana wao ndio wanazidi kufanikiwa. E u nielewesheni hapo.
Kwaio kisa mtu amekua shoga na ana pesa nawew una iga?
 
Hahaha!

Heshima kwa jamii ina thamani zaidi kuliko pesa ya Lodge Mkuu.
Ah wee ukitaka kiguata ya jamii mzeya utashindwa enjoy life. Usipogegeda watasema unanyetuka. Ukigegeda sana watasema wee malaya. Kula mbususu mkuu kadri lesa inaruhusu
 
Kwaio kisa mtu amekua shoga na ana pesa nawew una iga?
Story za mashoga zinatokea wapi tena wakati hapa tunaongelea suala la kugegeda malaya. Mbona tiger woods alikuwa anasafirisha malaya kwenye private jet mzeya lakini mambo mukide
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.


UZI TAYARI
Wewe(furaha yako) na taswira na jamii kipi bora,kama una nguvu ya kuwala na hujali magonjwa washangaze majirani....wanasema ukitaka kujua uko huru kiasi gan hemu fanya jambo bila kuangalia nini na nani atasemaje
 
Sahihi kabisa, na sio malaya tu. Sio kila mwanamke (hata kama unampenda) anafaa kuingizwa ghetto. Mwanamke atakayekuja kuwa mke wako ndio anafaa kuingia home kwako.
 
Unazungumzia malaya au mademu bro......maana by definition ni vitu viwili tofauti. Unatukataza kipi kati ya ivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom