na mie RIP mama yake CHIKIRA MTABARI. tuwaombee mama zetu wapumzike kwa Amani. lla sio siri mama ni mtamu jamani. wenye mama zenu ambao bado wako hai nawasihi muwatunze na kuwapenda, mie hadi nimesha miss neno MAMA
Sasa hapo mtafute baba wa mtoto ndiyo utachoka, utakuta yuko ulevini tangu asubuhi, huyo mama akifika apike chakula afue nguo, zee likija linauliza chakula kama kimechelewa na kichapo juu!