Acha hii tabia za kutuma meseji kwa watu usiowajua

Kilinitumia msg ya namna hii kitoto fulani. Nikakitazama kwa uchu fulani hivi nikaona kinafaa kuliwa. Nilikipiga mbupu miezi miwili iliyopita, eti juzi kinaniambia kinahisi kina mimba. CR wa SUA agribusiness mwaka 2011 sikuwa na muda zaidi ya kukiambia ..."si mmeruhusiwa kusoma na mimba zenu, rudi shule". Alafu nikaki block.
 
Hivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote?

Habari yako

Samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa, namba yako nimetoa kwenye group la...

Mimi naitwa......, naishi DAR. Naomba usave namba yangu na mimi nisave yako kwa ajiri ya:

  • Urafiki
  • Status view
  • Kuhabarishana
  • Money Connection
  • mambo mbalimbali ya kiulimwengu
  • Na pia ideas za business.
Mi nisave. Sijui nikusave nan ndug?"

Kwa wewe unaye penda kutuma meseji kama hizi kwa watu ukiamini ni njia nzuri kutengeneza connections, unafeli sana.

Watu wa maana hawaji kwenye maisha yako na kufanya kazi na wewe kiurahisi hivi.
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..sasamkuu tufanye nini ili tupate connection
 
Mimi huwa nawapotezea tu na kuendelea na maisha.

Halafu kuna hawa wanaoamua kukuunga kwenye group la WhatsApp bila hata kukujulisha kabla kama upo tayari kuungwa. Wanakera sana.
 
Hiyo ni ishara tosha kuwa umejiunga kwenye magrp ya kipuuzi kwahiyo wote mnamatatizo huwez kujiunga kwenye grp linaitwa kanga moko alafu ubaki salama
 
Hivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote?

Habari yako

Samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa, namba yako nimetoa kwenye group la...

Mimi naitwa......, naishi DAR. Naomba usave namba yangu na mimi nisave yako kwa ajiri ya:

  • Urafiki
  • Status view
  • Kuhabarishana
  • Money Connection
  • mambo mbalimbali ya kiulimwengu
  • Na pia ideas za business.
Mi nisave. Sijui nikusave nan ndug?"

Kwa wewe unaye penda kutuma meseji kama hizi kwa watu ukiamini ni njia nzuri kutengeneza connections, unafeli sana.

Watu wa maana hawaji kwenye maisha yako na kufanya kazi na wewe kiurahisi hivi.
Kuna dogo alinitumia sms hii wasap namba yngu anasemq aliiitoa kwenye group fulan wakati mimi nina ma group mawili tu kwenye sim, alinitumia sms hii hii sjui ndo wewe maana halijapungua wala kuongezeka neno ktk sms hiyo na hii yako..

Huyu mtu nilimshangaa sana, nadhan atakua ni mtoto kamaliza chuo anakuja kusumbua watu wa mambo ya kipuuz et ku View status sasa inanisaidia nn mimi?
 
Mkuu ,,,,kama umesoma vizuri alichokiandika .ungekausha Kwa sababu kakuomba msamaha kama......
 
Nimewahi kutumiwa aina hii ya ujumbe na kitoto fulani, nakieleza mie ni mtu mzima hakinielewi... Leo ndio nimejua kumbe hizo sms ni standard format kabisa , maneno hayohayo!
Wana copy na ku-paste. Baadhi target yao ni online business kupitia kutazama bidhaa zao kwa status ila njia wanayotumia kupata contact za watu kutazama hizo bidhaa zao sivyo inavyotakiwa.

Mtu anafanya online business ilihali jinsi ya kupata wateja hajui online hajui.

Wengi wanaiga na kufuata mkumbo.
 
Mkuu ,,,,kama umesoma vizuri alichokiandika .ungekausha Kwa sababu kakuomba msamaha kama......
Hii kitu ukiifikiria kwa mtazamo huu utateseka sana mkuu.

Huku siyo kuomba msamaha. Hapa ni mtu anaelewa anakosea ila anajaribu kujifariji ajione kuwa hakosei kwa kuongeza hicho kipengele cha kuomba msamaha.

Unataka tujuane na tufanye kazi, njoo tuwasiliane kwa njia ya kistaarabu na urafiki ujengwe automatically na siyo kwa kulazimisha kwa siku moja.
 
Kuna dogo alinitumia sms hii wasap namba yngu anasemq aliiitoa kwenye group fulan wakati mimi nina ma group mawili tu kwenye sim, alinitumia sms hii hii sjui ndo wewe maana halijapungua wala kuongezeka neno ktk sms hiyo na hii yako..

Huyu mtu nilimshangaa sana, nadhan atakua ni mtoto kamaliza chuo anakuja kusumbua watu wa mambo ya kipuuz et ku View status sasa inanisaidia nn mimi?
Mkuu hawa huwa ni watoto katika kufikiri ila kiumri ni watu wazima kabisa, wengine wameolewa/kuoa na wanafamilia.
 
Hiyo ni ishara tosha kuwa umejiunga kwenye magrp ya kipuuzi kwahiyo wote mnamatatizo huwez kujiunga kwenye grp linaitwa kanga moko alafu ubaki salama
Mkuu hii kitu unaweza tumiwa na mtu ambaye huwezi amini anaweza kufanya hivyo.
 
Mambo ya kufundishwa kuuza vitu mitandaoni na influensa ndio chanzo.
Watu wanadhani online business ni nyepesi wakati watu wanalipia dollars kusoma Digital marketing na wanakesha asubuhi, mchana jioni kuandaa contents za maana na kujifunza vingi zaidi.

Mtu unakaa na simu unakopi na ku-paste meseji kama hizi then unasubiri wateja.

Safari ni ndefu
 
Back
Top Bottom