EEee ndioooEt brother Vincenzo Jr c unaweza kufa kwaajili ya mama Abell? ๐
Njoo pm nahitaji ushauri brohWenyewe wanasema wanalinda brand.
Pole sana aisee! Ungemwuliza hana hisia kivipi?Mwenzenu kuna mmoja kaniambia hana hisia na mimi anataka tuwe kaka na dada
๐๐Mental illness ๐
Ni mshenzi tu jauPole sana aisee! Ungemwuliza hana hisia kivipi?
Wewe umechenji jina๐Sawa.
Mlambe makofi, halafu mtimue kwao.Ni mshenzi tu jau
Kabisa huyu mshenzi na nilimlipia hadi kodi ya miezi 7 lakin wapiMlambe makofi, halafu mtimue kwao.
Mkomeshe kama alivyofanya Chizi Maarifa.Kabisa huyu mshenzi na nilimlipia hadi kodi ya miezi 7 lakin wapi