Accreditation from TCU ni Tsh. 100,000-150,000 hili nalo jipu.

Tanaluza

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
212
121
Napingana na kiwango cha malipo ya acreditation ya certificate kutoka TCU. Haiwezekan gharama tu ya kuthibitisha kama cheti ni sahihi ama la iwe kubwa kiasi hiki. Mhe waziri husika tafadhali hebu tupia jicho hapo.
 
Back
Top Bottom