Accounting Vs IT intergrated. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Accounting Vs IT intergrated.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Buswelu, Nov 9, 2008.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu ni accountant by professional ana degree yake na anafanya kazi katika sector ya madini.Kama mine account and Internal Payment.

  Katika kupanua mipaka yake ya kuelewa..anapenda kusoma IT ili kuongeza uwezo wake katika kutumia computer na mawasiliano kwa ujumla.Kabla hajafanya hivyo angependa kusom ambacho hakita mtoa kabisa kwenye Accounts,yaani afanya course za computer zinazoweza kuwa applied kwenye accounts.Kama nimeeleka naomba mnisaidie kwa ushauri kwa hili.

  Najua JF kisima cha elimu na maujuzi.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Nov 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama ameshasoma introduction na kujua komputer namshauri achagua kati ya hivi hapa chini

  - security , mambo ya usalama wa mitandao

  - network , mawasiliano kwa ujumla

  - maintanance and repair , ufundi

  - desktop publishing , zaidi ni graphics

  - multimedia , mambo ya audio na visual

  - programming , kutengeneza programu na kuandika

  achague kati ya hizo anaweza kuchagua anachopenda hapo hizo ni watu wana specialize na wanasoma kwa muda mrefu na kupata uzoefu sehemu mbali mbali zaidi .
   
 3. n

  nyau Member

  #3
  Nov 10, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Asome relevant application software kama vile

  1. Spreadhseets - itampa uwezo wa ku-play around na numbers efficiently. Hii ni application software class moja ambayo kwa experience yangu ni indispensable kwa mhasibu.

  Hapa sikusidii spreadsheets at "introduction" level bali at power user level. Kuna a lot of very useful ways that accountants can use spreadsheets to make their work faster, simpler. These will not be taught in "introdcution" classes but rather in specialised spreasheet courses for accountants and the likes. Or they can be taught / passed down by a power user who is an accountant or understands what accountants do.

  2. Programming pia ni jambo zuri kwake kujua. Ningemshauri aanze na ku-programme application software anazotumia (spreadsheets, word processors, n.k.) ili ku-automate repetitive tasks na hivyo kumfanya more efficient kwenye kazi zake. Hapa nakusudia issues kama macros na vitu kama VBA (visual basic for applications) kwenye excel na word (or anything similar in other office suites)

  3. Akitoka hapo anaweza panda ngazi na kujifunza jinsi ya kuandika programmes za ku-solve particular accounting / business applications (payroll, stock, HR, etc come to mind). At this point atajikuta anajifunza juu ya databases. Hii ni aspect nyingine ya "IT" ambayo inaweza kuwa ya msaada sana kwa mhasibu, na most other professions for that matter. its unfortunate that it is not taught i the context of accountancy, medicine, engineering or other professions (at least where I am it is not :( )

  4. Jinsi ya kutumia the web effectively kutafuta resources mbali mbali kuhusiana na kazi yake. Mie natumia sana newsgroups, forums and the likes kusaidia kupanua ufahamu wa kazi zangu za uhasibu na ICT na uongozi. I never fail to be amazed every other day at the wealth of information out there despite doing this for more than 10 years now!

  Question is what course would cover all this?!

  Atapata greatest utility kama ataweza kupata course / instructor akafundishwa with particular reference to his work. Najua ni vigumu. Possibly a one-on-one with a power user kwenye haya mambo ndo the best way to go about it. It would not be a degree but it would give the person the skills necessary to do their work efficiently and effectively.

  Most of all itahitaji committment yake kubwa sana. One can be taught the basics, the building blocks and how to apply the building blocks to facilitate ones work. Basi. Toka hapo ni yeye na bidii yake ku-apply kile alichojifunza kwenye kazi zake za kila siku.

  Mie nadhani hiki ndicho angefany kama "anapenda kusoma IT ili kuongeza uwezo wake katika kutumia computer na mawasiliano kwa ujumla.Kabla hajafanya hivyo angependa kusom ambacho hakita mtoa kabisa kwenye Accounts,yaani afanya course za computer zinazoweza kuwa applied kwenye accounts"
   
  Last edited: Nov 10, 2008
 4. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Buswelu,
  Ili kutoa msaada zaidi wa kiushauri, labda ungenifahamisha huyu mtaalam ni mhitimu wa ngazi / kiwango gani?
  Pili, amesomea wapi na amemaliza mwaka gani?
  Tatu na mwisho, je anauwezo gani katika matumizi ya kompyuta na vihusiano vyake?
  Hii taarifa fupi itasaidia kutoa ushauri ambao utaku sawasawa na kiwango chake.
  Ahsante.
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Huyu bwana ni mhitimu wa degree ya kwanza....chuo kikuu cha dar es salaam kama nilivyo eleza awali.

  Pili anatumia software aina ya Pronto ambayo mining anayo fanyia kazi ndio wanatumia katika kazi zao.Kwa hiyo ni mjuzi kiasi kwenye computer na si mweupe kabisa.

  Cha msingi anataka kujiendeleza katika fani ya computer awe mzuri kwenye hilo...ili asiachwe na technology...
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana anachohitaji ni course ya "Computing For Accountants" kitu kilichokuwa tailored towards them.

  Pia kuna vitu kama Diploma ya IIT ina mambo mengi yanayohusiana na business/accounting, lakini hii ni equivalent kwa mwaka wa kwanza wa degree ya IT.

  Kama siyo mtupu sana, anaweza kujiendeleza mwenyewe kwa kutafuta vitabu vya computing for accountants.Sifikiri kama anahitaji kujua programming, hususan kama hana nia ya kubadili fani kutoka accounting kwenda IT. Anachoweza kufanya ni kutilia mkazo kuzijua proceses na software wanazotumia kupitia ulimwengu mpya wa computer.
   
Loading...