eennko
Member
- Oct 25, 2015
- 96
- 81
Sage ndiyo bomba sana kama unahitaji njoo pmGet Sage evelution iko poa sana hasa kwa branch accounting na kwa branch accounting lazima uwe na server yenye akili hasa main server.
Sage ndiyo bomba sana kama unahitaji njoo pmGet Sage evelution iko poa sana hasa kwa branch accounting na kwa branch accounting lazima uwe na server yenye akili hasa main server.
Habari wakuu wa forum hii?
Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
Hongera sana, kwa uzoefu wangu nitajitahidi kukusaidi, wapuuze hao wanaokutolea vimaneno hapo hayupo mjasriamali na sihitaji chochote kwako.
1. Quickbook bado inaweza wanayo Enterprise version na User friend kuliko nyingi(darasa la saba anaweza kuitumia vzr na kubadili baadhi ya maneno kwa kiswahili)
2. SAGE accounting hii ni nzuri pia inafanana na QB kwa turnover na branches iko juu ya QB kwa SME's
2. Tally inafanya vizuri sana pia lakini inahitaji uwe accounting knowedge
3. Pastel hii ni kubwa zaidi ya SAGE na QB pia sio nzuri kwa SME's
4. MYOB nayo ni user friend. zipo nyingi sana nilizowahi jaribu jaribu
Mm natumia QB since 1994 hadi sasa sioni shida
Ile ya kwenda na moja kichwani??Pole pole accounting package n software. Ndiyo inayotumika TRA kwa sasa.
tumia sage 300Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
No mie nilikuwa namjuza mleta mada kuwa Sage Evolution ndo package ya ukweli as per vigezo alivyoweka na kama atahitaji training anaweza kuja pm nikamuonyesha jinsi ilivyo user friendlySage ndiyo bomba sana kama unahitaji njoo pm
Mkuu Quickbook inaweza kuunganisha branches 6?