Accounting package ipi ni nzuri zaidi?

Accounting package ipi ni nzuri zaidi?

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
30
Reaction score
30
Habari wakuu wa forum hii,

Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
 
Habari wakuu wa forum hii?

kuna vitu kadhaa vya kutambua aina gani itakayo kufaa: 1.turnover yako 2: Kama kuna branches na ni ngapi 3. watumiaji wangapi kwa pamoja 4.aina ya biashara n.k

Kama ni mjasiriamali turnover ya below 1 billion annually go for QUICKBOOK
 
Tumia Microsoft Navision mzee iko bomba sana
 
kuna vitu kadhaa vya kutambua aina gani itakayo kufaa: 1.turnover yako 2: Kama kuna branches na ni ngapi 3. watumiaji wangapi kwa pamoja 4.aina ya biashara n.k

Kama ni mjasiriamali turnover ya below 1 billion annually go for QUICKBOOK
Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
 
Yani unafanya Bishara ya 30 Bn af unakuja kuokoteza Vi software huku. Why not hire Accounting Consultant.

Yani Waswahili ni waswahili tuu mika 100000
 
Tumia Epicor. Ndo accounting system inayotumika na wizara zote na mashirika ya serikali kama TRA, EWURA, SUMATRA, TANROADS, TPA na kadhalika.

Kama unahitaji, nicheki nikuunganishe na mtu wa hiyo kitu atleast ujue features na yeye ajue requirements zako.
 
Naona umeamua kuwa Mtu wa kati
 
Sasa ulitaka nifanye nini? Nimwambie tu kuna accounting package inaitwa Epicor bila kumpa connection na wakati nafahamu wanao provide hiyo package?

Kama umekosa cha kuchangia nyamaza, siyo lazima.
Sawa Dalali msomi
 
Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
Haupo serious wewe biashara ya 30bil? Haujui mtumie package gani ? Mi nilikua na biashara ya laki 5 tu nilikua natumia tally hadi wananishangaa
 
Yani unafanya Bishara ya 30 Bn af unakuja kuokoteza Vi software huku. Why not hire Accounting Consultant.

Yani Waswahili ni waswahili tuu mika 100000
Ni vile watu wengi hawajui kabisa ujasriamali na mazingira yake hasa km TZ, hutapata accounting consultant Tanzania atakae tibu shida za biashara yako. wengu wataiimba ile theory ya darasani na vitabuni, pia ni vema kujua kwamba entrepreneurship ni taaluma TOFAUTI sana accounting or kwa accountant n.k
 
Get Sage evelution iko poa sana hasa kwa branch accounting na kwa branch accounting lazima uwe na server yenye akili hasa main server.
 
Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
Hongera sana, kwa uzoefu wangu nitajitahidi kukusaidi, wapuuze hao wanaokutolea vimaneno hapo hayupo mjasriamali na sihitaji chochote kwako.
1. Quickbook bado inaweza wanayo Enterprise version na User friend kuliko nyingi(darasa la saba anaweza kuitumia vzr na kubadili baadhi ya maneno kwa kiswahili)
2. SAGE accounting hii ni nzuri pia inafanana na QB kwa turnover na branches iko juu ya QB kwa SME's
2. Tally inafanya vizuri sana pia lakini inahitaji uwe accounting knowedge
3. Pastel hii ni kubwa zaidi ya SAGE na QB pia sio nzuri kwa SME's
4. MYOB nayo ni user friend. zipo nyingi sana nilizowahi jaribu jaribu

Mm natumia QB since 1994 hadi sasa sioni shida
 
Back
Top Bottom