eribedama
Senior Member
- Oct 29, 2014
- 114
- 78
Tafadhali naomba msaada, account yangu imebadilishwa password na mtu nisiyemfahamu, probably a hacker, nashindwa kulog in tena, kwa bahati mbaya E-mail niliyokuwa nikitumia mwanzo imeshafungwa na yahoo, kwa hivyo siwezi kuomba kureset password kwa sababu E-mail haipo tena. Wajuzi wa haya mambo ya technology naombeni mnisaidie, ni njia gani nyingine naweza kutumia kuregain account yangu?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.