Account ya Fb ya Malisa GJ ndo hivyo tena

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Kama mlivyosikia ile account ya Malisa GJ kule facebook ndivyo hivyo.

Tusichezee mamlaka jamani.

Lakini kwa kuwa yuko pia humu JF hakuna shida.

UPDATE:
Pia nimejulishwa kuwa hata account yake ya instagram iliyokuwa na wafuasi laki 2 nayo ndo hivyo tena.


Nafikiri amebaki na whatsap na JF.
 
Yaani jana nime hangaika Kui -search holaaaaa "'....kumbe watu wame I-report ..Aisee hili taifa lilipofikia sasa ni pabaya
 
Back
Top Bottom