Imagine Auntie...[emoji1787][emoji1787] Alikunyamazia tu auntie masikini pole auntie yangu ila maisha lazima yaendelee tu mmekutana ukubwani ya nini kusumbuana
Na kumsahau ushamsahau auntie ndio lifeImagine Auntie...
Nilishapoa sasa....Mambo yanasonga..
Nilishasahau...Na kumsahau ushamsahau auntie ndio life
[emoji1787][emoji1787] Unasahau kama ulikuwa na mtoto wa mtu ukampenda tunasahau mara moja tuNilishasahau...
Ukipendwa tena hata unakumbuka sasa...
Si unaelewa haya mambo Auntie...Au siyo wewe[emoji1787]
Sasa je[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787] Unasahau kama ulikuwa na mtoto wa mtu ukampenda tunasahau mara moja tu
PoleSijui kucare.
Ofcoz hayo mambo ya kumcare mtu mzima mwenye meno 32 mimi yamenishinda hadi leo.