According to your Ex, what was your main problem?

According to your Ex, what was your main problem?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,166
Good morning watu wa Mungu.

Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.

Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi, nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua nini katika yale mahusiano yetu? akanijibu eti aliona kuna jam kubwa sana ya wanawake wanaonitaka hivyo akaona isiwe kesi ngoja awaachie na wengine wafaidi.

So ebu kila mmoja wetu aweke wazi hapa tatizo lake kubwa ambalo ex wake anasema alikua nalo.
 
Good morning watu wa Mungu.
Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.
Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi,nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua nini katika yale mahusiano yetu?akanijibu eti aliona kuna jam kubwa sana ya wanawake wanaonitaka hivyo akaona isiwe kesi ngoja awaachie na wengine wafaidi.
So ebu kila mmoja wetu aweke wazi hapa tatizo lake kubwa ambalo ex wake anasema alikua nalo.
Huyu alikuchoka, ama alipata mwingine bora kuliko wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom