eti nina elimu kubwa mno na malengo mazito sana 🐒Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Usingetapeliwa na Mganga boya wewe.eti nina elimu kubwa mno na malengo mazito sana 🐒
pia sikuelewa vizuri sababu hiyo maana ilikua kila siku nikitoa maelekezo au mawazo ya kifamilia analalama tu, ooh wewe si ndio mwenye elimu, sisi wengine hatujasoma na hatuna mawazo n.kAaaah hahahahahah asa ndio sababu gani hiyo 😁😁😁.
Sema labda jamaa kaogopa kama ulimzidi elimu anajua hatakuweza
Ilishaisha mkuu na chanzo n mimiAisee pole
ushirikiana ni kitu mbaya sana kwenye mapenzi gentleman,Usingetapeliwa na Mganga boya wewe.
Gentleman,Ety nna kibamia 🙌
Nilimuelewa sana ni vile kuna mambo yaliyotokea katikati yakapelekea kuliua pendo, yeye ndie alisema upendo umeisha.Basi hukumpenda upendo wa kweli hauishi kirahisi hivyo
Eti Msomi.ushirikiana ni kitu mbaya sana kwenye mapenzi gentleman,
wacha hiyo upuuzi mara moja tafadhali 🐒
Safi sana kwa kujitambua na hongera kwake kakusaidia sana kukuweka sawa japo hampo pamojaShida ilikua ni mimi,.Nilikua mjuaji sana na mdomo,.
Ila alinisaidia kujua ukweli na nimejirekebisha,.
Ni kwasababu yake saizi nimenyooka kwenye mahusiano sioni vile vimigogoro kama vya zamani